Anaitwa Paula mtoto wa mama mwenye talent na baba mwenye talent, je vipi kuhusu mtoto?Ni dhahiri hawezi kukosa kuwa na kipaji na yeye pia. Baba yake ni famous producer P Funk na mama yake ni mmoja kati ya waigizaji wazuri wa bongo(Kajala).Swali la kizushi, je Paula atafuata music kama baba au movie kama mama?
Paula akiwa na baba yake producer PFunk |
No comments:
Post a Comment