Sunday, 2 June 2013

USHAURI WA BURE KUTOKA KWA MASANJA MKANDAMIZAJI

Maisha yamepanda siku hizi..inabidi tutafute vitafunwa vingine kwa ajili ya chai. Kawaida ushuani wanatumia mikate asubuhi na vitu vingine. Lakini kwetu uswazi ni maandazi,vitumbua na kalimati. Sasa ushauri aliutoa Masanja Mkandamizaji ni kuwa wabunifu kutumia vitafunwa tofauti kama hivyo kwenye picha hapo chini.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...