Monday 3 June 2013

PICHA ZA WIKI: MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE KATIKA MKUTANO WA TICA HUKO YOKOHAMA ,JAPAN

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Mke wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mama Ban Soon-Taek wakati wa hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na mke wa Waziri Mkuu wa Japan Mama Akie Abe kwenye hoteli ya New Grand huko Yokohama nchini Japan.
Wake wa Marais na wakuu wan chi za Africa wanaonekana wakibadilishana mawazo. Pichani ni Mama Lordina Mahama, Mama Salma Kikwete, Mama Moon Soon-Taek na Mama Sia Nyama Koroma, mke wa Rais wa Sierra Leone.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na wanafunzi wa high school baada ya wanafunzi hao kufanya maonyesho ya traditional calligraphy katika hoteli ya New Grand mjini Yokohama.
CHANZO:IPP media

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...