Friday, 21 June 2013

MKOA KWA MKOA: MKOA WA MOROGORO KATIKA PICHA



Stendi ya daladala

Mitaa ya Morogoro



Bwawa la Mindu  ambalo ni Chanzo Muhimu sana cha maji kwa ‘Mji Kasoro Bahari’, yaani Morogoro

Milima ya Uluguru ... kama inavyoonekana kutokea Msamvu ... Novemba 2009 ... Ukiona hivi ni lazima umkumbuke Mbaraka Mwinshehe na wimbo wake ... Maji yatiririka ... Sijui kama bado maji hayo yapo au la!
Milima ya Uluguru kama inavyoonekana kutokea Msamvu 
Hotel Oasis

Je,unajua moja a kivutio kikubwa katika mji wa Morogoro?Ni hifadhi ya Taifa ya wanyama ya Mikumi.
Bango linaloonyesha watumiaji barabara kuwa wapo katika eneo la hifadhi


Lango la kuingilia katika hifadhi

Chui
Faru




Vuma Hills tented camp:Unaweza kupumzika hapa baada ya kuzunguka katika hifadhi ya Mikumi.

Watanzania wengi hawajawahi kutembelea hifadhi zetu za Taifa nadhani kwa kudhani kuwa wanaotakiwa kufanya hivyo ni wageni kutoka nje tu.Dhana hiyo siyo kweli.Utalii huanzia ndani ya nchi ukifanywa na wananchi wa nchi husika.Je,wizara husika inahamasisha kuhusu hili?
Tuanze sasa kutembelea vivutio adhimu duniani ambavyo Mungu ametutunuku.






No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...