PATIENCE OZOKWOR : JOHANNESBURG WALIVYOMLAKI MAMA G!
Picha zinajieleza… angalia jinsi msanii kutoka Nigeria Patience Ozokwor aka Mama G – alivyopokelewa na mashabiki huko Kempton Park alipokuwa ziarani kuzindua biashara mpya ya DVD ya IROKO tv hivi karibuni … mashabiki walizidi kujitokeza kumwona msanii wao wanayempenda kutoka Nollywood!
No comments:
Post a Comment