Hebu leo tuambie, mpenzi wako (mke, mume) anatafuna kama yupi kati ya hawa wawili. jaribu kuvuta hisia wakati anakula huwa anatafunaje, usitudanganye MDAU!.
sasa ili maisha yawe mepesi huyu mfupi tumuite MACHO na huyu mrefu tumuite MASIKIO.
CHANZO: Cheka vichekesho
No comments:
Post a Comment