Saturday 29 June 2013

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA NA MATUKIO BAADA YA KUAHIRISHA BUNGE MJINI DODOMA

IMG_0551Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Spika wa Bunge, Anne Makinda baada ya kuashirishwa kwa kikao cha Bunge Mjini Dodoma Juni 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)IMG_0673Spika wa Bunge Mama Anne Makinda akizungumza na mke wa Waziri  Mkuu, Mama Tunu Pinda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 28,2013. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)IMG_0700Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakizungumza na Spika wa Bunge Mama Anne Makinda   (katikati)  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 28,2013. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)IMG_0569Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipongezwa na mkewe   Tunu  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 28,2013 baada ya hotuba yake ya kuahirisha kikao cha Bunge Mjini  Dodoma . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...