Sunday, 2 June 2013

WEMA SEPETU NDIYO CHIEF JUDGE MISS DAR CITY CENTER


Usiku wa tarehe 2/6 kwenye hotel ya Golden Tulip atapatikana Miss Dar City center mpya. Shughuli nzima ya judgment itakuwa  chini ya Chief Judge herself Madame/LadyBoss/CE Wema Sepetu. Kwenye meza hiyo ambayo Team Endless Fame inawakilishwa na Wema mwenyewe pamoja na TinyDadyMzazi..ndiyo itakuwa na jukumu la mchagua mrembo atakaye vaa taji hilo.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...