
![]() |
Prince William, Kate na mtoto wao wakiwa nje ya hospitali ya St. Mary´s kabla ya kuondoka.Prince William alipoulizwa kuhusu jina la mtoto alisema bado wanalifanyia kazi.![]() Mizinga ikipigwa kama heshima kwa mtoto aliyezaliwa ![]() Watalii wakiangalia heshima zikitolewa katika mnara wa London CHANZO: Sky news |
No comments:
Post a Comment