Monday 22 July 2013

KAJALA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA WA TANZANIA MITINDO HOUSE

Birthday girl tayari kwa kwenda kusherekea siku yake na watoto yatima
Keki zilikuwepo za kumwaga 
Kajala akiwa na watoto TMT wakimuimbia wimbo wa Happy Birthday

Birthday girl akikakta keki




Mtangazaji wa kipindi cha Take One kinacho rushwa na Clouds TV akiwa katika pose na Kajala na ninamini very soon tutaona tukio zima kweney luniga zetu

Baadhi ya marafiki wa Kajala waliomsindikiza katika tukio hilo kutoka kushoto ni Bilal Seduction, Radhya, Kajala, Zamaradi na Junaitha

BFF Kajala & Wema
Hii keki imetoka Segrea kwa waliokuwa wafungwa wenzake Kajala.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...