Monday 22 July 2013

KANYE WEST AMSUSHIA KICHAPO HATARI PAPARAZI

Hii imetokea siku ya jumapili usiku nchi Marekani baada ya msanii wa Hip-Hop
Kanye west alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa ndege L.A

Lakini inasemekana Kulikuwa kuna Paparazi akimfatilia msanii huyo
toka ameshuka kwenye uwanjani hapo  mpaka
alipokuwa akielekea,jambo hilo lilimfanya
msanii huyo kukasirika hadi kufikia kuishiwa na kustamili na
kuamua kumshushia kichapo
mpiga picha yule aliekuwa akimfatilia kiundani kabisa.



Baada ya purukushani Kanye west hakubakia
tena eneo lile na kuamua kuondoka.
Hii inaweza kumletea Mwanamuziki Kanye west Matatizo makubwa
kutokana na sheria za waandishi wa habari kulindwa sana
kutokana na kile alichokuwa anakitafuta
kwa muda ule japokuwa Kanye west aliona ni kuingiliwa
na kufuatiliwa sana kiundani...


No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...