Thursday 11 July 2013

KIFO CHA MAMA PROFESA JAY, MAJONZI TELE

   Prof. Jay ‘kulia’ akisalimiana na baba yake mzazi Mzee Haule.
...akisalimiana na ndugu yake.
    Mwanamuziki wa kizazi kipya, Dulayo akisaini kitabu cha maombolezo.
   Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi 'Sugu' akiingia nyumbani kwa Prof. Jay.
Mwanamuziki wa Hip Hop, Roma Mkatoliki akisaini kitabu cha maombolezo.
Sugu akiperuzi kwenye simu yake msibani hapo.
Baba mzazi wa Prof. Jay ‘katikati’ akibadilishana mawazo na waombolezaji.
 
KIFO cha mama wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Rosemary Majanjala, Joseph Haule ‘Prof. Jay’ kimeacha majonzi tele kutokana na kwamba aligongwa na gari aina ya Stallet jana saa mbili usiku ambapo alifariki baada ya kufikishwa katika hospitali ya Tumbi iliyopo Kibaha, mkoani Pwani. Pichani juu ni baadhi ya taswira kutoka msibani Mbezi Mwisho jijini Dar es Salaam nyumbani kwa Prof Jay.
(Picha/stori: Na Gladness Mallya/GPL)

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...