
Muhogo wa kukaanga aka chips dume kwa pilipili masala.Limekosekana limao tu hapa!

Chips vumbi za kuchanganya na mayai aka zege

Mishikaki ya mbogamboga
Ama kweli bongo misosi tumejaliwa.Bado mchemsho hapo,thupu(supu) ya mbusi(mbuzi),kuku wa kuchoma n.k
No comments:
Post a Comment