Friday, 26 July 2013

ZIARA YA OPRAH WINFREY TANZANIA


Oprah Winfrey alipotua Tanzania hivi karibuni.

Oprah alitembelea hifadhi za Serengeti.Moja ya vivutio alivyotarajiwa kuviona ni uhamaji wa Nyumbu  na punda milia  katika mbuga za Serengeti kwa kuvuka mto Mara upande wa Tanzania, kuelekea mbuga za Masai Mara zilizopo nchini Kenya.


Oprah akiwa na patna wake,Stedman Graham,kkatika hifadhi za Serengeti

Wildebeest migration at the Serengeti National Park
PICHA: Uhamaji wa wanyama kwa kuvuka mto Mara

Pongezi kwa wizara ya Utalii na msichoke kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ili tuendelee kuwapokea watu maarufu duniani.