Saturday 20 July 2013

MSANII SHILOLE AKIWA TANZANIA BAADA YA KUREJEA TOKA MAREKANI

 Msanii Shilole katika picha ya pamoja na wasanii wenzake Diaomond kushoto na Ommy Dimpoz kwenye futari iliyoandaliwa nyumbani kwa masanii Diomond Sinza jijini Dar Es Salaam, Shilole amerejea Tanzania tangia wiki iliyopita baada ya kumaliza ziara ya wiki mbili yeye na msanii mwenzake Masanja Mkandamizaji walipokuja maalum kwenye sherehe ya miaka 3 na tamasha la utamaduni wa kiswahili Marekani lililofanyika July 6, 2013 mbali na sherehe hizo wasanii hao walitembela sehemu mbalimbali ukiwemo Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
 Msanii Shilole (wapili toka kushoto) katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa DTV
Shilole katika picha ya pamoja na mmoja wa wafanyakazi wa DTV
CHANZO: Vijimambo

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...