Monday 29 July 2013

MSHIRIKI WA BIG BROTHER KUTOKA TANZANIA NANDO KIMENUKA ATUPWA NNJE YA MJENGO

Nando Mshiriki wa Big Brother aliekuwa anaiwakirisha Tanzania leo hii kimenuka, atupiwa virago baada ya kutaka kupigana na mshiriki mwenzie Elikem mjengoni humo. Sheria ya Big Brother ukipigana ndiyo umesha jitoa kafara lakini siyo kufanya ngono.
CHANZO: Vijimambo

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...