Wednesday 24 July 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UINGEREZA TONY BLAIR, RAIS RAJOELINA WA MADAGASCAR IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JANA

t1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam Julai 23, 2013
t2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam  Julai 23, 2013
t3t4t5Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwonesha mandhari mbalimbali Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair Ikulu jijini Dar es salaam  Julai 23, 2013
t6Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Mhe. Tony Blair na mkewe Cherie Blair Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai 23, 2013
mau1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa serikali ya mpito ya Madagascar Mhe Andy Rajoelina Ikulu jijini Dar es salaam  Julai 23, 2013
mau2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Rais wa serikali ya mpito ya Madagascar Mhe Andy Rajoelina baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es salaam  Julai 23, 2013
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...