Friday 30 August 2013

AIRTEL YATOSHA ; NYUMBA YA PILI ZIMEBAKI SIKU 5 TU!!!‏

Nyumba ya kisasa ya Airtel Yatosha inayoshindaniwa.


Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando akiongea na wanahabari.
...Akionyesha funguo za nyumba inayoshindaniwa.
·DROO KUCHEZWA TAREHE 5/09/2013 AIRTEL MAKAO MAKUU DSM
Airtel Yatosha inazidi kupamba moto. Zimebaki siku CHACHE SANA kwa wewe MTEJA wa Airtel kuibuka mshindi wa Nyumba ya kisasa ya Airtel Yatosha iliyojengwa na Shirika la nyumba la taifa (NHC) iliyopo maeneo ya kigamboni jijini Dar es saalam.
Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando amesema “Siku ya Alhamisi tarehe 5 mwezi wa 9 ndio siku inayosubiriwa kwa hamu; ambapo tutapata mshindi wa nyumba ya pili ya promosheni ya Airtel Yatosha”
Wewe mteja wa Airtel Yatosha bado una nafasi ya kuibuka mshindi! Ni rahisi. Piga *149*99# sasa na ujiunge na kifurushi chochote cha SIKU, WIKI AU MWEZI cha Airtel Yatosha na moja kwa moja utaingia kwenye droo ya kushinda. Kumbuka, pia kuna Tsh milioni 1 kushindaniwa kila siku.
Usilaze damu! Jiunge zaidi na Airtel Yatosha, uongeze nafasi zako za kushinda! Alidokeza bw, Mmbando.
CHANZO: GPL

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...