Wednesday 28 August 2013

MJADALA WA RASIMU YA KATIBA MPYA DMV - PART I



Karibu katika sehemu ya kwanza kati ya mbili za mjadala uliohusisha baadhi ya  viongozi na wanaharakati wa siasa waishio Washington DC.
Katika sehemu hii, wachangiaji ni viongozi wa CHADEMA tawi la Washington DC ambao wameeleza mtazamo wao na wa chama chao kuhusu rasimu hiyo.
Viongozi hao ni Mwenyekiti wa Tawi Ndg. Kalei Pandukizi, Katibu wake ambaye pia ni Ofisa Habari Bwn Liberatus Mwang'ombe na Mweka Hazina wa Tawi Bwn. Ludigo Mhagama
Katika sehemu ya pili waliungana na mwanaharakati wa chama cha CUF ambaye pia ni mmoja wa waasisi na Katibu wa Zanzibar Diaspora USA Bwn. Shamsi Abdul
Karibu uungane nasi

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...