Wednesday 28 August 2013

MZUNGU AVAMIA MAZOEZI YA TWANGA

Mzungu akiwa tayari amekabidhiwa gitaa akikaa chini ili aanze kulipiga.
    Mzungu akipiga gitaa hilo la solo.
    …akijibu swali aliloulizwa na kiongozi wa bendi hiyo, Luiza Mbutu (wa pili kulia).


   Akimuangalia kwa umakini kabisa mnenguaji wa bendi hiyo mwenye nguo za bluu Grace Kaswaga ‘Kiza Kinene’ (kulia).
MZUNGU mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina moja la Arnold raia wa nchini Marekani amevamia mazoezi ya bendi ya Twanga na kisha kuomba apige gitaa.
Akizungumza na mtandao huu, mzungu huyo alisema kuwa yuko nchini kwa ajili ya kuchukua Shahada ya Uzamili 'Masters Degree' katika mambo ya muziki hivyo alivyopita nje na kusikia muziki ukipigwa alishindwa kuvumilia na kuingia mazoezini humo.
“Nimefarijika sana kukaribishwa hapa mazoezini na kisha kuomba gitaa kupiga nikapewe kwani kwangu ni thamani kubwa sana niliyopewa na bendi hii” alisema mzungu huyo.
(Picha /Habari: Shakoor Jongo /GPL)

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...