![]() |
Tina Turner akiwa na mumewe Erwin ambaye ni mtayarishaji wa muziki(producer) na raia wa Ujerumani![]() |
![]() ![]() |
![]() Oprah Winfrey alikuwa ni mmoja kati ya wageni waalikwa katika arusi hiyo ![]() ![]() ![]() ![]() Sherehe za arusi ya Tina Turner zilifanyika katika makazi yao yaliyopo kandokando ya ziwa Zurich,Switzerland ![]() ![]() ![]() |
No comments:
Post a Comment