Thursday 29 August 2013

THAMANI YA GAUNI LA LULU NI DOLA $1,350.

Elizabeth Michael
Hot Lulu mwigizaji wa filamu Swahilihood.
UNAPOONGELEA Filamu ya Foolish Age ya mwigizaji wa kike mwenye mvuto Bongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ basi unaongelea na mavazi, jana nilikueleza na kukuonyesha akifanya Shopping katika maduka kadhaa leo tunakupa thamani ya gauni lake ambalo atalivaa siku hiyo ya uzinduzi wa filamu yake ya Foolish Age hapo Mlimani City.

.
Elizabeth Michael
Lulu akiwa anaingia dukani.
Elizabeth Michael
Hot Lulu akiwa Studio FC

Elizabeth Michael
Lulu akiwa katika dukani la Beauty Point
Lulu katika pozi kiwanja.
Lulu katika pozi kiwanja.
Elizabeth Michael
Lulu katika pozi kiwanja.


























































































































“Ni gauni nzuri na ilikuwa ni oda maalum kwa ajili yangu na nimelipata kwa wakati nashukru mungu, so kila kitu ninachofanya utakipata kupitia mtandao wa habari www.filamucentral.co.tz, wao watakuwa wanaripoti kwa kila hatua ya tukio hili muhimu katika maisha ya tasnia ya filamu.
Pia mama Lulu naye amenunua gauni la gharama ambalo utatajiwa baadaye ili upate kujua  thamani ya gauni hilo na vitu vingine unajua haujajua Hot Lulu anavaa viatu gani vinauzwaje.
CHANZO: Filamucentral

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...