
Aeriel Castro,mtu ambaye aliwateka wanawake watatu na kuwaweka katika nyumba yake kwa miaka 10 huko Cleveland, Ohio nchini Marekani amekutwa amekufa katika seli aliyokuwemo. Hii imetokea usiku wa Jumanne. Castro mwenye umri wa miaka 53, aliwashikilia wanawake hao bila ya ridhaa yao wakiwa wamefungwa minyororo huku akiwabaka pale alipojisikia kufanya hivyo.
Agosti 1 2013,Castro alihukumiwa kifungo cha maisha huku nyumba yake ikibomolewa.

Aeriel Castrol akijitetea kuwa yeye si mtu mbaya,ni mtu wa kawaida ila ni mgonjwa
Wanawake hao aliowateka ni Gina DeJesus ambaye kipindi anatekwa alikuwa na umri wa miaka 14, Amanda Berry 16, na Michelle Knight, 21. Castro alibahatika kupata mtoto na Amanda Berry kama matunda ya ubakaji wake.
BOFYA READ MORE KUONA PICHA ZA WAHANGA HAWA

Michelle Knight, mhanga wa Ariel Castro

Gina DeJesus, mhanga wa pili

Amanda Berry,mhanga wa tatu

Amanda Berry na binti yake Jecelyn ambaye amempata baada ya kubakwa na Castro
CHANZO: BBC
No comments:
Post a Comment