
Air force one ikiwa imetua katika uwanja wa Arlanda,Stockholm

Rais Obama akishuka kutoka katika Air force one mara baada ya kutua katika uwanja wa Arlanda,Stockholm,Sweden

Akisalimiana na viongozi mbalimbali waliokuja kumpokea.Hapa anamsalimu Carl Bildt,waziri wa mambo ya nje wa Sweden

Rais Obama akilsindikizwa katika gari na waziri wa mambo ya nje wa Sweden,Carl Bildt

Msafara wake ukitoka uwanja wa ndege kuelekea katikati ya jiji la Stockholm

Askari wakiangalia usalama kuzunguka Grand Hotel ambapo Obama atakuwepo
ENDELE KUFUATILIA HAPA KWA MATUKIO MBALIMBALI JUU YA ZIARA HII
No comments:
Post a Comment