Manta Resort iliyopo Pemba Tanzania ni hoteli ya kwanza ya chini ya maji barani Afrika.

Hoteli hii iliopo chini ya maji ipo katika bahari ya hindi katika kisiwa cha Pemba,Tanzania

Chumba kipo umbali wa mita tatu ndani ya maji ila unaweza kulala juu(deck) kama hutaki kulala ndani ya maji

Wageni wa Manta Resort wanaweza kuangalia samaki na viumbe wengine wa bahari kwa usalama kabisa kutokea chumbani mwao

Mgeni anaweza kuona mandhari hii kutoka chumbani kwake.
Gharama za kulala katika hoteli hii zinaanzia dola 750 kwa mtu mmoja kwa usiku mmoja!
PICHA ZAIDI




No comments:
Post a Comment