Thursday 14 November 2013

PICHA ZAIDI ZA SHEREHE YA MIAKA 75 YA RAIS MSTAAFU, BENJAMIN MKAPA

 Mandhari ya ukumbi uliofanyika sherehe ya kumpongeza Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa ya kutimiza miaka 75, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msimbazi Center jijini Dar es Salaam,jana usiku.
 Rais Mstaafu, Benjamin  Mkapa, akijumuika na mkewe Mama Anna Mkapa na sehemu ya Familia yake kukata Keki, ikiwa ni ishara ya kupongezwa kwa kutimiza miaka 75.
 Shambra shambra ukumbini wakati wa sherehe hiyo......
 Rais Mstaafu, Benjamin  Mkapa,akizima mishumaa.

 Baadhi ya wageni waalikwa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mohammed Gharib Bilal, Mama Asha Bilal, (kushoto) Mama Zakia Bilal na baadhi ya viongozi, wakijumuika kumpongeza  rais mstaafu Benjamin Mkapa.

 Zawadi ya Benjamin kutoka kwa marafiki zake wakaribu......
 sehemu ya wageni waalikwa.
 Wageni waalikwa .
 wageni waalikwa.
 Msanii akitoa burudani.
 Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, akilishwa keki na mkewe Mama Anna Mkapa.
 Unyenyekevu.
 Baadhi ya wageni waalikwa.....
 Mkapa na keki yake.
 Mkapa akipongezwa na mke wa Rais, Mama Salma Kikwete
 Waalikwa.
 Wageni waalikwa wakigonganisha glasi za shampeni.
Rais mstaafu Benjamin Mkapa akikabidhiwa zawadi 
 Rais Mstaafu Mkapa, akizungumza wakati wa sherehe hiyo.
 Makamu wa Rais Dkt.Bilal, akizungumza kwa niaba ya Serikali.
 Makamu wa Rais Dkt. Bilal akimpongeza  rais mstaafu Benjamin Mkapa.
Picha ya pamoja
PICHA KWA HISANI YA SUFIANI MAFOTO

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...