Thursday, 6 March 2014

PITA PITA YA KAMERA YA RAINBOW JIJINI DAR LEO: MADHARA YA MVUA YA LEO


Kituo cha mafuta kilichopo pembeni ya Mayfair Plaza 

Hapa ni Mayfair Plaza 



Baadhi ya maduka yakiwa hayajafunguliwa kufuatia maji kujaa.Hapa ni maeneo ya Mikocheni A,





Maji yakiwa yamejaa katika eneo la Shoppers plaza,Mikocheni A




PICHA:  Rainbow-tz blog, Dsm

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...