Thursday 1 May 2014

BOUGAINVILLEA

Bougainvillea ni moja kati ya maua ninayoyapenda sana hasa yakiwa yamepandwa inavyotakiwa.
Maua haya yapo ya aina na rangi mbalimbali na hupendeza sana pale yanapopandwa kiubunifu zaidi.Hebu tuangalie baadhi ya picha zionyeshazo jinsi bougainvillea zilivyopandwa na rangi zake.





No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...