Thursday 1 May 2014

STOCKHOLM LEO

Stockholm hali ya hewa bado haijatengemaa vizuri maana mara joto mara baridi.Hii inapelekea mimea kutokuwa na nuru ya kutosha,Hii inadhihirishwa kabisa na maua haya yafuatayo ambayo picha zake nimezipiga muda mfupi uliopita.





No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...