Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2014

THE BEDROOM: ANGALIA UNAVYOWEZA KUOANISHA MAPAZIA NA DUVET KATIKA CHUMBA CHAKO

MKOBA KUTOKA KWA GABOR

THE DINING ROOM: AINA YA SAMANI NA JINSI YA KU-DESIGN DINING ROOM YAKO

MKOBA KWA WANAWAKE KUTOKA KWA ANNA FIELD

AINA MBALIMBALI YA SANDALS ZA KIKE

THE BEDROOM: LEATHER BEDS

Tusidhani vitanda vizuri ni vya mbao peke yake,la hasha, hata vya ngozi au chuma ni vizuri pia,Uzuri wa kitandani unatokana na design yake.Blogu hii imejikita zaidi na upambaji wa nyumba,kuanzia mazingira ya nje mpaka ndani.Ingawa tumejikita vilevile katika urembo na mitindo kwani tunaamini kuwa urembo,mitindo na upambaji wa nyumba huenda pamoja.
Tuangalie aina tofauti za vitanda vya ngozi.Kama wewe ni mpenzi wa upambaji wa nyumba,endelea kutufuatilia kwani kuna mambo mazuri yanakuja siku za mbeleni!THE LIVING ROOM: AINA ZA SOFA NA MPANGILIO WAKE

PITPITA YA KAMERA YA RAINBOW-TZ JIJINI STOCKHOLM, LEO.

Watu wamechangamka na kila mtu ana furaha.Unajua kwanini? Watu wana pesa hivyo ni tarehe nzuri.

MIKOBA YA WANAWAKE KUTOKA L.CREDI

THE DINING ROOM: AINA YA SAMANI NA JINSI YA KU-DESIGN DINING ROOM YAKO

PITAPITA YA KAMERA YA RAINBOW-TZ JIJINI STOCKHOLM

PICHA:PITAPITA YA KAMERA YA RAINBOW-TZ JIJINI DAR LEO

Dar leo mvua imenyesha kama picha zinavyoonyesha.

CONVERSE NDIYO MPANGO MZIMA

Converse ninazozipenda mimi ni hizi ballerina.Bahati mbaya nimehangaika sana kupata rangi nyeusi au nyeupe bila mafanikio.Nikizipata zinakuwa ni size ndogo.Kwa jinsi ninayozipenda nitanunua tu rangi yeyote kati ya hizi hapo chini!Je,wewe unaona rangi ipi ni nzuri?
1: Rangi ya pinki

2: Rangi ya bluu ya bahari

3: Rangi ya zambarau ya mpauko

container gardening

THE LIVING ROOM: AINA MBALIMBALI YA SOFA NA MPANGILIO WAKE

CHEKA UNENEPE!

STYLES: MKOBA KUTOKA KWA ANNA FIELD

THE WARDROBE: TOKELEZEA NAMNA HII NDANI YA MAXI

MKOBA KWA WANAWAKE KUTOKA KWA GABOR

THE DINING ROOM: AINA YA SAMANI NA JINSI YA KU-DESIGN DINING ROOM YAKO