Friday 12 September 2014

SANDALS ZA KISASA KWA WANAWAKE

Sandals hizi ni imara na nzuri sana kwa mtu mwenye mizunguko mingi.Mimi ninazo rangi 2 tofauti.Kwa kweli nitanunua rangi zote!Sandals zipo tight mbele hivyo kama una miguu mipana inabidi uvae namba moja kubwa zaidi ya size ya kawaida.Mfano kama unavaa namba 37 ni nzuri ukanunua size 38.Mimi ninavaa size 39/40.Nina jozi moja size 39 na nyingine size 40 na zote navaa ingawa size 40 inapwaya kidogo.
Ellos Shoes Sandal av skinn, 36-41Ellos Shoes Sandal av skinn, 36-41

Ellos Shoes Sandal av skinn, 36-41Ellos Shoes Sandal av skinn, 36-41
Ellos Shoes Sandal av skinn, 36-41Ellos Shoes Sandal av skinn, 36-41

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...