Hivi karibuni,nilikuwa Tanzania na moja ya vitu nilivyotaka kwenda kuona ni pamoja na mradi huu.Kwa maelezo zaidi ya miradi mingine waliyonayo NSSF,unaweza kuingia katika website yao.
Picha zote na Anna Nindi
Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...
No comments:
Post a Comment