Matunda tofauti yakiuzwa barabarani jijini Tanga
Muuzaji matunda aliweka kapu hili kwaajili ya kutupia uchafu.Mimi na team yangu tulikula sana machungwa hapa na kutupa maganda katika kapu hili.Kabla ya kuondoka muuzaji husafisha eneo na kuliacha safi kama alivyolikutwa,vinginevyo sheria huchukua mkondo wake dhidi ya muuzaji aliyekiuka utaratibu.
PICHA na Anna Nindi
No comments:
Post a Comment