Style hii ya nywele ni moja ya style zinazonivutia sana.Nilipotembelea Tanzania na mimi nilisokota nywele zangu namna hii.Kwasasa ndiyo fashion niliyoikuta Tanzania.Tatizo nywele zangu nimezikata katika style ya nywele fupi nyuma hivyo locks zangu za nyuma zimechomoka nyingi.Hata hivyo nime rock meeeen!
No comments:
Post a Comment