Maxi ni vazi lisilopitwa na wakati.Kinachobadilika katika vazi hili ni mitindo tu.Ni vazi ambalo hupendeza wengi.Je,wewe una maxi katika kabati lako?Kama huna jitahidi upate angalau maxi moja na hutajutia.Kikubwa angalia umbo lako ujue nini kitakupendeza.
No comments:
Post a Comment