Sunday 26 October 2014

MANUKATO NILIYOWAHI KUTUMIA/NINAYOTUMIA

Perfume ni moja kati ya vitu ninavyovipenda sana.Kutokana na mapenzi yangu kwa perfume huwa ninapenda kujaribu perfumes za aina tofauti.Kwa kufanya hivi hupata harufu ambazo ninapenda au tuseme zinaendana na mimi.Kwani perfume inaweza ikawa nzuri kwako na isiwe hivyo kwangu.Nina baadhi ya perfumes ambazo nimenunua katika kujaribu kwangu ambazo ni kama zifuatazo;





No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...