Sunday 26 October 2014

THE LIVING ROOM: JINSI UNAVYOWEZA KUBORESHA MWONEKANO WA SEBULENI KWAKO

Unaweza kuboresha zaidi mwonekano wa sebuleni kwako kwa mapambo ya aina mbalimbali.Leo tunaongelea "curio".Curio ni kabati ambazo zimetengenezwa kwa kioo kwa sehemu kubwa.Kabati hizi hutumika kuweka mapambo mbalimbali au vyombo mfano glasi za mvinyo. Vitu hivi  au mapambo huwekwa kwa kiasi ili kuleta mwonekano mzuri.





No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...