Saturday 29 November 2014

MAANDALIZI YA KRISMASI JIJINI STOCKHOLM, SWEDEN

Katika shopping center ya eneo ninaloishi, kulikuwa na soko la krismasi. Makundi mbalimbali ya watu walijumuika katika soko hili huku soseji za aina tofauti zikiuzwa pamoja na kinywaji maalum Waswidi kijulikanacho kama glogg.Vilevile kulikuwa na burudani za aina mbalimbali.Palipendeza sana.

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...