Wednesday 26 November 2014

MAJAMBAZI WAVAMIA SUPER MARKET, STOCKHOLM,SWEDEN



Majira ya saa 11 jioni jana,watu wawili wenye silaha, walijaribu kupora katika supermarket  iitwayo Coop  Konsum eneo ninaloishi. Waporaji hawakufanikiwa kupora bali walimjeruhi kwa risasi muuzaji wa kike wa supermarket hiyo.
Source: Aftonbladet

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...