THE WARDROBE: ONEKANA MTANASHATI KWA KUPANGILIA MAVAZI YAKO NAMNA HII
Mimi niaamini kuvaa ni sanaa na si utajiri.Si lazima uvae nguo za wabunifu wakubwa ili upendeze,la hasha.Kinachotakiwa ni sanaa/ubunifu katika kupangilia kile unachovaa.Kuna watu wana pesa nyingi na wanavaa nguo za gharama kubwa sana na bado huonekana kituko kutokana na mpangilio mbovu walio nao.Kikubwa,kubali kujifunza kwani binadamu tunajifunza katika siku zote za uhai wetu na hakuna anaejua kila kitu.Kwa kuzingatia hili ndiyo maana blog hii ina safu ya "THE WARDROBE" ambapo tunaonyeshana upangiliaji wa mavazi. Angalia baadhi ya upangiliaji wa mavazi.
No comments:
Post a Comment