NIMEZIPENDA HIZI LONG HIGH WAISTED AFRICAN PRINT SKIRTS
Kinachofanya mtu apendeze na hizi sketi ndefu za african print ni
mchanganyiko wa rangi na jinsi mvaaji atakavyopangilia rangi hizo,basi.Mishono
yake huwa ni rahisi ILA mpangilio wa rangi huzingatiwa.
No comments:
Post a Comment