Alhaj Ali Hassan Mwinyi
Blog ya
rainbow –tz inamtakia heri ya siku ya kuzaliwa rais wa pili wa Jamhuri ya
Tanzania,Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na umri zaidi
ili busara zako ziweze kutumika na walio chini yako.
HAPPY
BIRTHDAY MZEE RUKSA!
No comments:
Post a Comment