Mwanzoni nilikuwa si mshabiki saana wa raba za
kitambaa.Kwasasa ni mpenzi sana wa raba hizi na ninazo za rangi tofauti kutoka
kwa watengenezaji tofauti. Mimi ni mpenzi sana wa viatu mpaka ninajiogopa. Ni
vizuri sana kufuata moyo wako unataka nini na si kuamuliwa na mtu ufanye
nini.Hivyo mdau na msomaji wangu,fuata moyo wako siku zote na utafanikiwa.
Bonyeza read more kuona rangi tofauti
No comments:
Post a Comment