Nimekuwa nikiangalia tamthiliya
hii kwa muda mrefu,huku nikiacha na kuendelea nayo tena. Ni tamthiliya yenye
visa vingi kiasi cha kumfanya mtazamaji atake kujua nini kinaendelea. Washiriki
wa tamthiliya hii wamekuwa wakija na kuondoka bila kuathiri utamu wa tamthiliya
hii.Je na wewe ni mmoja wa watazamaji wa tamthiliya hii?
Tuangalie baadhi ya nyota wa
Isidingo the Need.
Robert
Whitehead - Barker Haines
Tema Sebopedi kama Lerato katika tamthiliya ya Isidingo
Noluthando Meje kama Zukisa
Linda Sokhulu - (Nikiwe Sibeko) & Kevin Smith -( Frank Xavier)
Keketso Semoko kama Agnes Matabane
Don Mlangeni-Nawa - Zeb Matabane
Kgomotso Christopher kama Katlego, mke wa Jefferson Sibeko
Vusi Kunene kama Jefferson Sibeko, mume wa Katlego
Anthony Oseyemi as Hamilton Radebe
Maurice Paige
Pearl Thusi kama Palesa
Motlatsi Mafatshe - Sechaba Moloi
Paul Buckby - Eddie Holmes
No comments:
Post a Comment