Thursday, 7 May 2015

SIMULIZI YA MAISHA YA IRENE UWOYA

Kama Alivyosema, Irene  Uwoya Ameanza  Hivi Kuyanika Maisha Yake

  Kutoka kwenye ukursa wake mtandaoni,staa mrembo Irene Uwoya ameanza hivi;
Naitwa Irene pankras uwoya...ni mtoto wakwanza katika familia ya mzeee uwoya yenye watoto 2 na mdogo wangu wakuite aitwae babu!!!nimezaliwa dodoma hospital nimeishi dodoma nikasoma shule ya msimgi mlimwa la kwanza mpaka la tatu...Wazaz wangu 


wakaa mishiwa Dar kikazi mama yangu akiwa ofisi ya waziri mkuu huku baba yangu akiwa pilot na pia ofisi ya nishat na madini nikaamia shule ya msingi bunge na kumaliza la saba!nikaenda kidato cha kwanza St.Thomas Gongolamboto mpaka kidato cha pili badae nikaenda Uganda nikasoma mpaka kidato cha 3 nikarudi bongo kuchukua pass mpya coz ya kwanza ilikuwa imesha isha.....Ilikuwa ijumaaa nikiwa nimeenda kwajili ya pass mpya nirudi shule!!!ndipo nilikutana na kaka mmoja mrefu,mweusi akaniita malaika"nikashangaa mhh mbona sio jina langu ?akanisogelea a kanambia kwa lugha ya kingereza naitwa Patrick ponce monzanga!nikawa na nashangaaa coz sikuwa namjua'nikamwambia naitwa Irene akanambia naomba nikwite malaika coz ur sooo beautiful huku akinipa mkono...nilipo mpa mkono tuuu basiii kumbe nilikuwa nimejitengenezea bomu bila kujua.....ITAENDELEA

No comments:

Post a Comment

PALM TREES ARE BEAUTIFUL

Minazi huleta mandhari nzuri ya kuvutia, haijalishi ni sehemu gani imemea. Palm trees are always beautiful, it doesn´t matter where they are...