Friday, 8 May 2015

THE LIVING ROOM: RECLINER SECTIONAL

Recliner sofa ni sofa nzuri sana kwani unaweza kukalia katika mtindo unaotaka wewe.Kama unahisi unataka kukaa kwa kujinyoosha huku miguu yako ikiwa imepumzika, unaweza kufanya hivyo kwa kukunjua sehemu ya miguuni. Na kama unataka kukaa mkao wa kawaida pia unaweza kufanya hivyo kwa kukunja sehemu ya miguuni. Angalia picha za recliner sofa hapa chini.