Friday, 8 May 2015

ADHA YA MVUA JIJINI DAR ES SLAAM!

Maji yakiwa yamejaa katika barabara ya Shekilango eneo la Bamaga leo.
 
Vyombo vya moto vikiendelea kupita taratibu katika eneo hilo.…

Maji yakiwa yamejaa katika barabara ya Shekilango eneo la Bamaga leo.
Vyombo vya moto vikiendelea kupita taratibu katika eneo hilo.
Maji yakiwa yamejaa kituo cha mabasi Chuo cha Ustawi wa Jamii.(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)