Wednesday, 24 June 2015

HONGERA KWA WALIOJIBU SWALI LA SIKU!

Hongera kwa wale waliojibu swali la siku leo.
Kama wewe ni mmoja wapo usichoke,endelea kujibu mpaka tarehe 23 julai kwani wewe ni mshindi tayari.

Zawadi tumeamua kufanya suprise ila ni NZURI SANAAAA!