Monday, 8 June 2015

SHINDA ZAWADI NA RAINBOW-TZ BLOG!


Mdau,kwa kuonyesha jinsi tunavyothamini wasomaji wetu,tunaweka shindano la kujishindia zawadi nzuri.Shindano hili litaanza siku yeyote kuanzia sasa. Ili uweze kushiriki tafadhali ingia rainbow-tz blog kila siku.ZAWADI NI NZURI SANA hivyo chukua muda wako kushiriki.

MASHARTI


1.    Mshindi lazima ashiriki kujibu swali la siku kwa muda wa siku 30 kuanzia siku shindano litakapoanza.Inamaanisha kutakuwa na maswali 30 na ni lazima upate yote!

2.   Mshiriki awe na umri wa miaka 18 na kuendelea.

3.   Mshiriki anaweza kushiriki kutoka sehemu yeyote duniani ILA zawadi zitatolewa Dar es salaam tu.HATUTATUMA ZAWADI NJE YA DAR ES SALAAM.Hivyo kwa wale wote watakaoshiriki kutoka sehemu mbalimbali kama mtu atashinda atatuelekeza tutakaye mkabidhi zawadi yake DAR ES SALAAM.

4.   Mshindi atatangazwa baada ya siku 30 za shindano

5.   Ni jukumu lako wewe mshiriki kufuatilia kuwa swali la siku hiyo umeliona na kulijibu kwani tunaweza kuliweka asubuhi, au mchana n.k
6. Tuma majibu yako kupitia rainbowinfom@gmail.com

Stay tunned kujua zawadi ni nini.

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA


Anna Nindi-Mmiliki wa Rainbow-tz blog