Skip to main content

THE GARDEN: PALM TREE ZINAVYOPENDEZESHA MAZINGIRA

Mimi ni mpenzi sana wa miti aina ya minazi (palm trees).Kwangu huona kuwa mwonekano wan nje ya nyumba huwa unanoga zaidi kukiwa na miti hii hata kama ni miwili tu. Palm trees zipo za aina mbalimbali, kuanzia zile ambazo zinakua sana ama ambazo zinakua wastani. Tuangalie hapa picha jinsi unavyoweza kupendezesha nyumba yako kwa palm trees.

Nitawaletea makala nyuingine inayoonyesha aina za palm tree.


Popular posts from this blog

YEBOYEBO,MTINDO WA NYWELE UNAOPENDWA HADI SASA

MICHORO MBALIMBALI YA HINA

JINSI YA KUPAKA RANGI NDANI YA NYUMBA YAKO

Swala la kuchagua rangi inayofaa ndani ya nyumba huwachanganya wengi.Wengi hushindwa kuamua ni rangi gani wapake. Na endapo mtu atataka kuchanganya rangi za aina mbili au zaidi ni rangi gani atumie? Habari hii inaweza kuwasaidia kidogo kwani nitawawekea baadhi ya picha jinsi rangi zinavyoweza kupangiliwa na kupendeza.Kikubwa vilevile zingatia samani ulizonazo au unazohitaji kuweka katika nyumba yake ili usilete mchanganyiko wa rangi utakaoumiza kichwa.